Advertisement

JAMAA NA DEGREE YAKE ANAPIGA DEBE STAND 'NATAKA NIBADILISHE MITAZAMO YA WATU'

JAMAA NA DEGREE YAKE ANAPIGA DEBE STAND 'NATAKA NIBADILISHE MITAZAMO YA WATU' Ally Nasibu msomi wa shahada ya Elimu aliyoipata mwaka 2015 katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Tabora (AMUCTA) baada ya kusubiri ajira kwa muda mrefu ameamua kujiajili kwa kazi ya upiga debe katika standi ya basi tabora mjini

Kazi hiyo ameifanya kwa miaka minne sasa na hafikirii kuajiliwa tena kutokana na kipato anachokipata

WATU"

Post a Comment

0 Comments